
Starter
Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
50 kgTSh 75,000Tazama bidhaa
JAYMO ANIMAL FEEDSLISHA. ONA. ENDELEA.NENDA SOKONI Fungua dukaJAYMO ANIMAL FEEDS · MWANZA
JAYMO Animal Feeds ni duka la chakula cha mifugo Mwanza linalohudumia wafugaji wa kuku, nguruwe, ng’ombe, mbwa na samaki. Pia tunauza malighafi zilizokamilishwa na kuchapishwa kwenye duka.
CHAGUA KWA HATUA SAHIHI
Tunapokea order online na kupanga delivery Mwanza, Kanda ya Ziwa na maeneo mengine Tanzania baada ya kuthibitisha kiasi na eneo.

Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
50 kgTSh 75,000Tazama bidhaa
Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
50 kgTSh 63,000Tazama bidhaa
Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
50 kgTSh 63,000Tazama bidhaa
Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
50 kgTSh 55,000Tazama bidhaa
Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
50 kgTSh 55,000Tazama bidhaa
Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
50 kgTSh 75,000Tazama bidhaa
Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
50 kgTSh 60,000Tazama bidhaa
Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
50 kgTSh 55,000Tazama bidhaaMashudu ya Alizeti Chanzo cha protini ya mimea kinachosaidia kuongeza kiwango cha protini katika mchanganyiko wa chakula.
50 kgREJAREJA TSh 1,000/kgTazama bidhaaChokaa / Limestone Chanzo cha calcium kinachotumika katika chakula cha mifugo; ni muhimu hasa katika lishe ya kuku wa mayai.
50 kgREJAREJA TSh 450/kgTazama bidhaaUnga wa Mifupa Hutoa madini muhimu, hasa calcium na phosphorus, yanayosaidia mifupa na mahitaji ya madini ya mifugo.
50 kgREJAREJA TSh 700/kgTazama bidhaaSoya / Soya Meal Chanzo muhimu cha protini yenye ubora katika chakula cha kuku na mifugo, kinachosaidia ukuaji na maendeleo ya mwili.
50 kgREJAREJA TSh 2,300/kgTazama bidhaaPUMBA NYEUPE ZA MAHINDI Pumba nyeupe za mahindi ni malighafi muhimu katika utengenezaji wa chakula cha mifugo. Hutoa nishati na nyuzinyuzi zinazosaidia mmeng’enyo wa chakula na hutumika vizuri katika kutengeneza mchanganyiko wa lishe kulingana na aina ya mnyama. Inafaa kwa: • Nguruwe • Ng’ombe • Kuku — kwa kiwango sahihi kwenye formulation
100 kgREJAREJA TSh 600/kgTazama bidhaaPumba ya Mpunga Chanzo cha nishati na nyuzinyuzi kinachoweza kutumika katika utengenezaji wa chakula cha mifugo.
50 kgREJAREJA TSh 350/kgTazama bidhaaMashudu ya Pamba ni chanzo kizuri cha protini, nishati na nyuzinyuzi kwa mifugo. Husaidia ukuaji, kujenga mwili na kuboresha thamani ya lishe ya chakula. Yanafaa zaidi kwa ng’ombe na yanaweza kutumika kwa mifugo mingine kwa kiwango sahihi kwenye formula.
50 kgREJAREJA TSh 1,200/kgTazama bidhaaDamu (Blood Meal) ni chanzo chenye kiwango kikubwa cha protini, kinachosaidia ukuaji, kujenga misuli na kuongeza ubora wa lishe kwenye chakula cha mifugo. Hutumika kwa kiwango sahihi kwenye formula kulingana na aina na hatua ya ukuaji wa mnyama.
50 kgREJAREJA TSh 1,300/kgTazama bidhaaChumvi ni chanzo muhimu cha sodium na chloride kwa mifugo, husaidia usawa wa maji mwilini, utendaji wa mishipa na misuli, pamoja na kusaidia ulaji mzuri wa chakula. Hutumika kwa kiwango sahihi kwenye formula za chakula cha mifugo.
50 kgREJAREJA TSh 1,000/kgTazama bidhaaKazi ya DCP: Ni chanzo cha Calcium na Phosphorus kwenye chakula cha mifugo. Husaidia kujenga na kuimarisha mifupa na meno, ukuaji mzuri na kusaidia uzalishaji wa mifugo.
1 kgREJAREJA TSh 3,000/kgTazama bidhaa
Chakula kamili aina ya MASH kwa kuku wa mayai kuanzia siku 136+. Husaidia uzalishaji wa mayai, uimara wa ganda na afya ya kuku. Tayari kwa kulisha bila kuchanganya na chakula kingine. Kifurushi: 50 KG Bei: TSh 63,000
50 kgTSh 63,000Tazama bidhaa
Chotara 51 ni kuku wanaofugwa kwa uzalishaji wa mayai. Wape chakula bora na matunzo sahihi ili kupata uzalishaji mzuri na endelevu. 🥚 Lengo: Mayai mengi, biashara yenye tija.
50 kgTSh 55,000Tazama bidhaaNdiyo. Eneo na gharama ya delivery huthibitishwa baada ya order kulingana na kiasi na sehemu ulipo.
Ndiyo. Tunapanga usafiri kwenda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine Tanzania baada ya mawasiliano.
Duka linaonyesha availability ya bidhaa zilizochapishwa. Order yako pia huthibitishwa kabla ya malipo au delivery.