Material / Malighafi
Bidhaa zote
MALIGHAFI YA CHAKULA
Dicalcium Phosphate
Kazi ya DCP: Ni chanzo cha Calcium na Phosphorus kwenye chakula cha mifugo. Husaidia kujenga na kuimarisha mifupa na meno, ukuaji mzuri na kusaidia uzalishaji wa mifugo.
BEI YA REJAREJATSh 3,000/kgChini ya 1000 kg
BEI YA JUMLATSh 2,700/kgKuanzia 1000 kg
- Bei na stock huthibitishwa kabla ya delivery
- Mwanza · Lake Zone
Wasiliana na JAYMO kuthibitisha upatikanaji na usafirishaji. Kuonekana kimataifa hakuthibitishi delivery, gharama ya usafirishaji, forodha au availability.
