Material / Malighafi
Bidhaa zote
MALIGHAFI YA CHAKULA
PUMBA ZA MAHINDI
PUMBA NYEUPE ZA MAHINDI Pumba nyeupe za mahindi ni malighafi muhimu katika utengenezaji wa chakula cha mifugo. Hutoa nishati na nyuzinyuzi zinazosaidia mmeng’enyo wa chakula na hutumika vizuri katika kutengeneza mchanganyiko wa lishe kulingana na aina ya mnyama. Inafaa kwa: • Nguruwe • Ng’ombe • Kuku — kwa kiwango sahihi kwenye formulation
BEI YA REJAREJATSh 600/kgChini ya 1000 kg
BEI YA JUMLATSh 550/kgKuanzia 1000 kg
- Bei na stock huthibitishwa kabla ya delivery
- Mwanza · Lake Zone
Wasiliana na JAYMO kuthibitisha upatikanaji na usafirishaji. Kuonekana kimataifa hakuthibitishi delivery, gharama ya usafirishaji, forodha au availability.
