Material / Malighafi
Bidhaa zote
MALIGHAFI YA CHAKULA
Chokaa Tanga
Chokaa / Limestone Chanzo cha calcium kinachotumika katika chakula cha mifugo; ni muhimu hasa katika lishe ya kuku wa mayai.
BEI YA REJAREJATSh 450/kgChini ya 1000 kg
BEI YA JUMLATSh 420/kgKuanzia 1000 kg
- Bei na stock huthibitishwa kabla ya delivery
- Mwanza · Lake Zone
Wasiliana na JAYMO kuthibitisha upatikanaji na usafirishaji. Kuonekana kimataifa hakuthibitishi delivery, gharama ya usafirishaji, forodha au availability.
