JAYMO Animal FeedsJAYMO ANIMAL FEEDSLISHA. ONA. ENDELEA.
NENDA SOKONI Fungua duka
NENDA SOKONI
Nyumbani

JAYMO ANIMAL FEEDS · MWANZA

Chakula cha kuku Mwanza

JAYMO Animal Feeds inatoa chakula cha kuku aina ya MASH kwa hatua tofauti za ukuaji. Chagua chakula kulingana na aina ya kuku, umri na hatua ya uzalishaji; tunathibitisha stock na delivery kabla ya kusafirisha.

CHAGUA KWA HATUA SAHIHI

Bidhaa zinazopatikana

Kwa growers mash, layers feed, chotara feed au chakula cha broiler, wasiliana nasi kuthibitisha bidhaa inayofaa na stock iliyopo.

Starter — Chakula cha kuku Mwanza
Kuku · Siku 0–56

Starter

Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.

50 kgTSh 75,000Tazama bidhaa
Layers Grower — Chakula cha kuku Mwanza
Kuku · Siku 57–112

Layers Grower

Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.

50 kgTSh 63,000Tazama bidhaa
Chotara No.30 — Chakula cha kuku Mwanza
Kuku · Siku 31–60

Chotara No.30

Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.

50 kgTSh 55,000Tazama bidhaa
Chotara No.65 — Chakula cha kuku Mwanza
Kuku · Siku 61+

Chotara No.65

Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.

50 kgTSh 55,000Tazama bidhaa
JMF-LM9 — Chakula cha kuku Mwanza
Kuku · Bidhaa

JMF-LM9

Chakula kamili aina ya MASH kwa kuku wa mayai kuanzia siku 136+. Husaidia uzalishaji wa mayai, uimara wa ganda na afya ya kuku. Tayari kwa kulisha bila kuchanganya na chakula kingine. Kifurushi: 50 KG Bei: TSh 63,000

50 kgTSh 63,000Tazama bidhaa
CHOTARA NO51 — Chakula cha kuku Mwanza
Kuku · Siku 31–60

CHOTARA NO51

Chotara 51 ni kuku wanaofugwa kwa uzalishaji wa mayai. Wape chakula bora na matunzo sahihi ili kupata uzalishaji mzuri na endelevu. 🥚 Lengo: Mayai mengi, biashara yenye tija.

50 kgTSh 55,000Tazama bidhaa

Kuagiza JAYMO Animal Feeds

Mna delivery Mwanza?

Ndiyo. Eneo na gharama ya delivery huthibitishwa baada ya order kulingana na kiasi na sehemu ulipo.

Naweza kuagiza nje ya Mwanza?

Ndiyo. Tunapanga usafiri kwenda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine Tanzania baada ya mawasiliano.

Nitajuaje bidhaa ipo?

Duka linaonyesha availability ya bidhaa zilizochapishwa. Order yako pia huthibitishwa kabla ya malipo au delivery.