Material / Malighafi
Bidhaa zote
MALIGHAFI YA CHAKULA
PAMBA SHUDU
Mashudu ya Pamba ni chanzo kizuri cha protini, nishati na nyuzinyuzi kwa mifugo. Husaidia ukuaji, kujenga mwili na kuboresha thamani ya lishe ya chakula. Yanafaa zaidi kwa ng’ombe na yanaweza kutumika kwa mifugo mingine kwa kiwango sahihi kwenye formula.
BEI YA REJAREJATSh 1,200/kgChini ya 1000 kg
BEI YA JUMLATSh 1,000/kgKuanzia 1000 kg
- Bei na stock huthibitishwa kabla ya delivery
- Mwanza · Lake Zone
Wasiliana na JAYMO kuthibitisha upatikanaji na usafirishaji. Kuonekana kimataifa hakuthibitishi delivery, gharama ya usafirishaji, forodha au availability.
