JAYMO Animal FeedsJAYMO ANIMAL FEEDSLISHA. ONA. ENDELEA.
NENDA SOKONI Fungua duka
NENDA SOKONI
Material / Malighafi
Bidhaa zote

MALIGHAFI YA CHAKULA

CHUMVI

Material / Malighafi50 kgIpo stock

Chumvi ni chanzo muhimu cha sodium na chloride kwa mifugo, husaidia usawa wa maji mwilini, utendaji wa mishipa na misuli, pamoja na kusaidia ulaji mzuri wa chakula. Hutumika kwa kiwango sahihi kwenye formula za chakula cha mifugo.

BEI YA REJAREJATSh 1,000/kgChini ya 1000 kg
BEI YA JUMLATSh 900/kgKuanzia 1000 kg
  • Bei na stock huthibitishwa kabla ya delivery
  • Mwanza · Lake Zone

Wasiliana na JAYMO kuthibitisha upatikanaji na usafirishaji. Kuonekana kimataifa hakuthibitishi delivery, gharama ya usafirishaji, forodha au availability.