
Bidhaa zote
CHAKULA CHA KUKU
JMF-LM9
Chakula kamili aina ya MASH kwa kuku wa mayai kuanzia siku 136+. Husaidia uzalishaji wa mayai, uimara wa ganda na afya ya kuku. Tayari kwa kulisha bila kuchanganya na chakula kingine. Kifurushi: 50 KG Bei: TSh 63,000
TSh 63,000- Bei na stock huthibitishwa kabla ya delivery
- Mwanza · Lake Zone
Wasiliana na JAYMO kuthibitisha upatikanaji na usafirishaji. Kuonekana kimataifa hakuthibitishi delivery, gharama ya usafirishaji, forodha au availability.
