
Bidhaa zote
CHAKULA CHA KUKU
CHOTARA NO51
Chotara 51 ni kuku wanaofugwa kwa uzalishaji wa mayai. Wape chakula bora na matunzo sahihi ili kupata uzalishaji mzuri na endelevu. 🥚 Lengo: Mayai mengi, biashara yenye tija.
TSh 55,000- Bei na stock huthibitishwa kabla ya delivery
- Mwanza · Lake Zone
Wasiliana na JAYMO kuthibitisha upatikanaji na usafirishaji. Kuonekana kimataifa hakuthibitishi delivery, gharama ya usafirishaji, forodha au availability.
