JAYMO Animal FeedsJAYMO ANIMAL FEEDSLISHA. ONA. ENDELEA.
NENDA SOKONI Fungua duka
NENDA SOKONI
Nyumbani

JAYMO ANIMAL FEEDS · MWANZA

Chakula cha ng’ombe Mwanza

JAYMO Animal Feeds inatoa Dairy Mash kwa ng’ombe wa maziwa. Taarifa za package, bei na availability huonekana kwenye bidhaa iliyokamilika na kuchapishwa dukani.

CHAGUA KWA HATUA SAHIHI

Bidhaa zinazopatikana

Kwa chakula cha ng’ombe Mwanza au animal feeds za ng’ombe wa maziwa, wasiliana nasi kwa uthibitisho wa stock na mpango wa delivery.

Bidhaa zinaandaliwa

Bidhaa zisizokamilika huhifadhiwa kama Draft hadi taarifa zake muhimu zikamilike. Wasiliana nasi kuthibitisha bidhaa unayohitaji.

Kuagiza JAYMO Animal Feeds

Mna delivery Mwanza?

Ndiyo. Eneo na gharama ya delivery huthibitishwa baada ya order kulingana na kiasi na sehemu ulipo.

Naweza kuagiza nje ya Mwanza?

Ndiyo. Tunapanga usafiri kwenda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine Tanzania baada ya mawasiliano.

Nitajuaje bidhaa ipo?

Duka linaonyesha availability ya bidhaa zilizochapishwa. Order yako pia huthibitishwa kabla ya malipo au delivery.