JAYMO Animal FeedsJAYMO ANIMAL FEEDSLISHA. ONA. ENDELEA.
NENDA SOKONI Fungua duka
NENDA SOKONI
Material / Malighafi
Bidhaa zote

MALIGHAFI YA CHAKULA

DAMU

Material / Malighafi50 kgIpo stock

Damu (Blood Meal) ni chanzo chenye kiwango kikubwa cha protini, kinachosaidia ukuaji, kujenga misuli na kuongeza ubora wa lishe kwenye chakula cha mifugo. Hutumika kwa kiwango sahihi kwenye formula kulingana na aina na hatua ya ukuaji wa mnyama.

BEI YA REJAREJATSh 1,300/kgChini ya 1000 kg
BEI YA JUMLATSh 1,200/kgKuanzia 1000 kg
  • Bei na stock huthibitishwa kabla ya delivery
  • Mwanza · Lake Zone

Wasiliana na JAYMO kuthibitisha upatikanaji na usafirishaji. Kuonekana kimataifa hakuthibitishi delivery, gharama ya usafirishaji, forodha au availability.