Material / Malighafi
Bidhaa zote
MALIGHAFI YA CHAKULA
Mifupa
Unga wa Mifupa Hutoa madini muhimu, hasa calcium na phosphorus, yanayosaidia mifupa na mahitaji ya madini ya mifugo.
BEI YA REJAREJATSh 700/kgChini ya 1000 kg
BEI YA JUMLATSh 650/kgKuanzia 1000 kg
- Bei na stock huthibitishwa kabla ya delivery
- Mwanza · Lake Zone
Wasiliana na JAYMO kuthibitisha upatikanaji na usafirishaji. Kuonekana kimataifa hakuthibitishi delivery, gharama ya usafirishaji, forodha au availability.
