Delivery Mwanza na Kanda ya Ziwa • Namba ya simu 0746 592 636
Mfugaji akilisha kuku, nguruwe na ng’ombe shambani

LISHE BORA. MATOKEO HALISI.

Chakula sahihi.
Mifugo yenye matokeo.

Agiza chakula cha JAYMO aina ya MASH kwa hatua sahihi ya mifugo yako. Tunakupigia kuthibitisha order na delivery.

LISHA.ONA.ENDELEA.

JAYMO KWENYE SIMU YAKO

Nunua chakula kama app

Weka JAYMO kwenye Home Screen. Huhitaji Play Store.

MASH na malighafiBidhaa zilizokamilika pekee
Delivery salamaGharama kulingana na eneo
Malipo salamaOrder na malipo huunganishwa

DUKA LA JAYMO

Chagua chakula au malighafi

Malighafi zina bei tofauti za jumla na rejareja. Gharama ya delivery itathibitishwa kulingana na eneo lako.

Starter50 kg
MASHKukuSiku 0–56

Starter

Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.

Soma zaidiIpo stock: 99993 mfuko
TSh 75,000
Layers Grower50 kg
MASHKukuSiku 57–112

Layers Grower

Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.

Soma zaidiIpo stock: 100000 mfuko
TSh 63,000
JMF-LM9 Layers Mash50 kg
MASHKukuSiku 113+

JMF-LM9 Layers Mash

Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.

Soma zaidiImeisha kwa sasa
TSh 63,000
Chotara No.3050 kg
MASHKukuSiku 31–60

Chotara No.30

Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.

Soma zaidiIpo stock: 75000 mfuko
TSh 55,000
Chotara No.6550 kg
MASHKukuSiku 61+

Chotara No.65

Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.

Soma zaidiIpo stock: 51999 mfuko
TSh 55,000
Nguruwe S150 kg
MASHNguruweStarter

Nguruwe S1

Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.

Soma zaidiIpo stock: 52000 mfuko
TSh 75,000
Nguruwe G250 kg
MASHNguruweGrower

Nguruwe G2

Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.

Soma zaidiIpo stock: 51000 mfuko
TSh 60,000
Nguruwe F350 kg
MASHNguruweFinisher

Nguruwe F3

Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.

Soma zaidiIpo stock: 52000 mfuko
TSh 55,000
MATERIALMalighafiMaterial / Malighafi

Mahindi

Mahindi yenye ubora

Soma zaidiIpo stock: 2568009 kg
JUMLATSh 800/kgKuanzia 1000 kgREJAREJATSh 1,000/kgChini ya 1000 kg
MATERIALMalighafiMaterial / Malighafi

Alizeti

Mashudu ya Alizeti Chanzo cha protini ya mimea kinachosaidia kuongeza kiwango cha protini katika mchanganyiko wa chakula.

Soma zaidiIpo stock: 20000 kg
JUMLATSh 800/kgKuanzia 1000 kgREJAREJATSh 1,000/kgChini ya 1000 kg
MATERIALMalighafiMaterial / Malighafi

Chokaa Tanga

Chokaa / Limestone Chanzo cha calcium kinachotumika katika chakula cha mifugo; ni muhimu hasa katika lishe ya kuku wa mayai.

Soma zaidiIpo stock: 52886 kg
JUMLATSh 420/kgKuanzia 1000 kgREJAREJATSh 450/kgChini ya 1000 kg
MATERIALMalighafiMaterial / Malighafi

Mifupa

Unga wa Mifupa Hutoa madini muhimu, hasa calcium na phosphorus, yanayosaidia mifupa na mahitaji ya madini ya mifugo.

Soma zaidiIpo stock: 36000 kg
JUMLATSh 650/kgKuanzia 1000 kgREJAREJATSh 700/kgChini ya 1000 kg
MATERIALMalighafiMaterial / Malighafi

Soya

Soya / Soya Meal Chanzo muhimu cha protini yenye ubora katika chakula cha kuku na mifugo, kinachosaidia ukuaji na maendeleo ya mwili.

Soma zaidiIpo stock: 40000 kg
JUMLATSh 2,200/kgKuanzia 1000 kgREJAREJATSh 2,300/kgChini ya 1000 kg
MATERIALMalighafiMaterial / Malighafi

PUMBA ZA MAHINDI

PUMBA NYEUPE ZA MAHINDI Pumba nyeupe za mahindi ni malighafi muhimu katika utengenezaji wa chakula cha mifugo. Hutoa nishati na nyuzinyuzi zinazosaidia mmeng’enyo wa chakula na hutumika vizuri katika kutengeneza mchanganyiko wa lishe kulingana na aina ya mnyama. Inafaa kwa: • Nguruwe • Ng’ombe • Kuku — kwa kiwango sahihi kwenye formulation

Soma zaidiIpo stock: 49900 kg
JUMLATSh 550/kgKuanzia 1000 kgREJAREJATSh 600/kgChini ya 1000 kg
MATERIALMalighafiMaterial / Malighafi

Pumba ya Mpunga

Pumba ya Mpunga Chanzo cha nishati na nyuzinyuzi kinachoweza kutumika katika utengenezaji wa chakula cha mifugo.

Soma zaidiIpo stock: 68000 kg
JUMLATSh 300/kgKuanzia 1000 kgREJAREJATSh 350/kgChini ya 1000 kg
MATERIALMalighafiMaterial / Malighafi

PAMBA SHUDU

Mashudu ya Pamba ni chanzo kizuri cha protini, nishati na nyuzinyuzi kwa mifugo. Husaidia ukuaji, kujenga mwili na kuboresha thamani ya lishe ya chakula. Yanafaa zaidi kwa ng’ombe na yanaweza kutumika kwa mifugo mingine kwa kiwango sahihi kwenye formula.

Soma zaidiIpo stock: 25000 kg
JUMLATSh 1,000/kgKuanzia 1000 kgREJAREJATSh 1,200/kgChini ya 1000 kg
MATERIALMalighafiMaterial / Malighafi

DAMU

Damu (Blood Meal) ni chanzo chenye kiwango kikubwa cha protini, kinachosaidia ukuaji, kujenga misuli na kuongeza ubora wa lishe kwenye chakula cha mifugo. Hutumika kwa kiwango sahihi kwenye formula kulingana na aina na hatua ya ukuaji wa mnyama.

Soma zaidiIpo stock: 22000 kg
JUMLATSh 1,200/kgKuanzia 1000 kgREJAREJATSh 1,300/kgChini ya 1000 kg
MATERIALMalighafiMaterial / Malighafi

CHUMVI

Chumvi ni chanzo muhimu cha sodium na chloride kwa mifugo, husaidia usawa wa maji mwilini, utendaji wa mishipa na misuli, pamoja na kusaidia ulaji mzuri wa chakula. Hutumika kwa kiwango sahihi kwenye formula za chakula cha mifugo.

Soma zaidiIpo stock: 11000 kg
JUMLATSh 900/kgKuanzia 1000 kgREJAREJATSh 1,000/kgChini ya 1000 kg
MATERIALMalighafiMaterial / Malighafi

Dicalcium Phosphate

Kazi ya DCP: Ni chanzo cha Calcium na Phosphorus kwenye chakula cha mifugo. Husaidia kujenga na kuimarisha mifupa na meno, ukuaji mzuri na kusaidia uzalishaji wa mifugo.

Soma zaidiIpo stock: 5000 kg
JUMLATSh 2,700/kgKuanzia 1000 kgREJAREJATSh 3,000/kgChini ya 1000 kg
JMF-LM950 kg
MASHKukuBidhaa

JMF-LM9

Chakula kamili aina ya MASH kwa kuku wa mayai kuanzia siku 136+. Husaidia uzalishaji wa mayai, uimara wa ganda na afya ya kuku. Tayari kwa kulisha bila kuchanganya na chakula kingine. Kifurushi: 50 KG Bei: TSh 63,000

Soma zaidiIpo stock: 32000 mfuko
TSh 63,000
CHOTARA NO5150 kg
MASHKukuSiku 31–60

CHOTARA NO51

Chotara 51 ni kuku wanaofugwa kwa uzalishaji wa mayai. Wape chakula bora na matunzo sahihi ili kupata uzalishaji mzuri na endelevu. 🥚 Lengo: Mayai mengi, biashara yenye tija.

Soma zaidiIpo stock: 12800 mfuko
TSh 55,000

DELIVERY YA UHAKIKA

Tunakufikishia mzigo kwa mpango unaokufaa.

Mwanza na viunga: tunathibitisha eneo na gharama baada ya order. Mikoa mingine: tunapanga usafiri wa basi, lori au meli kulingana na mzigo.

MwanzaFVWW+5H · Google MapsFungua ramani ya JAYMO Animal Feeds

Wasiliana na JAYMO kuthibitisha upatikanaji na usafirishaji. Kuonekana kimataifa hakuthibitishi delivery, gharama ya usafirishaji, forodha au availability.

Njia za malipoChagua njia inayokufaa wakati wa checkout.
M-PESAAIRTEL MONEYMIXX BY YASHALOPESAVISA / MASTERCARDBANK

ACCOUNT ZA MALIPO

Lipa moja kwa moja JAYMO

Weka namba ya order kwenye kumbukumbu ya malipo, kisha tuma risiti WhatsApp. Order itathibitishwa baada ya malipo kuonekana.