50 kgStarter
Chakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
Soma zaidiIpo stock: 99993 mfuko
LISHA. ONA. ENDELEA.
LISHE BORA. MATOKEO HALISI.
Agiza chakula cha JAYMO aina ya MASH kwa hatua sahihi ya mifugo yako. Tunakupigia kuthibitisha order na delivery.
JAYMO KWENYE SIMU YAKO
Weka JAYMO kwenye Home Screen. Huhitaji Play Store.
CHAGUA KWA AINA YA MIFUGO
Pata chakula kinacholingana na aina ya mifugo na hatua yake.
DUKA LA JAYMO
Malighafi zina bei tofauti za jumla na rejareja. Gharama ya delivery itathibitishwa kulingana na eneo lako.
50 kgChakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
Soma zaidiIpo stock: 99993 mfuko
50 kgChakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
Soma zaidiIpo stock: 100000 mfuko
50 kgChakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
Soma zaidiImeisha kwa sasa
50 kgChakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
Soma zaidiIpo stock: 75000 mfuko
50 kgChakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
Soma zaidiIpo stock: 51999 mfuko
50 kgChakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
Soma zaidiIpo stock: 52000 mfuko
50 kgChakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
Soma zaidiIpo stock: 51000 mfuko
50 kgChakula kamili cha mifugo, kilichotengenezwa kwa lishe bora na matokeo ya uhakika.
Soma zaidiIpo stock: 52000 mfukoMahindi yenye ubora
Soma zaidiIpo stock: 2568009 kgMashudu ya Alizeti Chanzo cha protini ya mimea kinachosaidia kuongeza kiwango cha protini katika mchanganyiko wa chakula.
Soma zaidiIpo stock: 20000 kgChokaa / Limestone Chanzo cha calcium kinachotumika katika chakula cha mifugo; ni muhimu hasa katika lishe ya kuku wa mayai.
Soma zaidiIpo stock: 52886 kgUnga wa Mifupa Hutoa madini muhimu, hasa calcium na phosphorus, yanayosaidia mifupa na mahitaji ya madini ya mifugo.
Soma zaidiIpo stock: 36000 kgSoya / Soya Meal Chanzo muhimu cha protini yenye ubora katika chakula cha kuku na mifugo, kinachosaidia ukuaji na maendeleo ya mwili.
Soma zaidiIpo stock: 40000 kgPUMBA NYEUPE ZA MAHINDI Pumba nyeupe za mahindi ni malighafi muhimu katika utengenezaji wa chakula cha mifugo. Hutoa nishati na nyuzinyuzi zinazosaidia mmeng’enyo wa chakula na hutumika vizuri katika kutengeneza mchanganyiko wa lishe kulingana na aina ya mnyama. Inafaa kwa: • Nguruwe • Ng’ombe • Kuku — kwa kiwango sahihi kwenye formulation
Soma zaidiIpo stock: 49900 kgPumba ya Mpunga Chanzo cha nishati na nyuzinyuzi kinachoweza kutumika katika utengenezaji wa chakula cha mifugo.
Soma zaidiIpo stock: 68000 kgMashudu ya Pamba ni chanzo kizuri cha protini, nishati na nyuzinyuzi kwa mifugo. Husaidia ukuaji, kujenga mwili na kuboresha thamani ya lishe ya chakula. Yanafaa zaidi kwa ng’ombe na yanaweza kutumika kwa mifugo mingine kwa kiwango sahihi kwenye formula.
Soma zaidiIpo stock: 25000 kgDamu (Blood Meal) ni chanzo chenye kiwango kikubwa cha protini, kinachosaidia ukuaji, kujenga misuli na kuongeza ubora wa lishe kwenye chakula cha mifugo. Hutumika kwa kiwango sahihi kwenye formula kulingana na aina na hatua ya ukuaji wa mnyama.
Soma zaidiIpo stock: 22000 kgChumvi ni chanzo muhimu cha sodium na chloride kwa mifugo, husaidia usawa wa maji mwilini, utendaji wa mishipa na misuli, pamoja na kusaidia ulaji mzuri wa chakula. Hutumika kwa kiwango sahihi kwenye formula za chakula cha mifugo.
Soma zaidiIpo stock: 11000 kgKazi ya DCP: Ni chanzo cha Calcium na Phosphorus kwenye chakula cha mifugo. Husaidia kujenga na kuimarisha mifupa na meno, ukuaji mzuri na kusaidia uzalishaji wa mifugo.
Soma zaidiIpo stock: 5000 kg
50 kgChakula kamili aina ya MASH kwa kuku wa mayai kuanzia siku 136+. Husaidia uzalishaji wa mayai, uimara wa ganda na afya ya kuku. Tayari kwa kulisha bila kuchanganya na chakula kingine. Kifurushi: 50 KG Bei: TSh 63,000
Soma zaidiIpo stock: 32000 mfuko
50 kgChotara 51 ni kuku wanaofugwa kwa uzalishaji wa mayai. Wape chakula bora na matunzo sahihi ili kupata uzalishaji mzuri na endelevu. 🥚 Lengo: Mayai mengi, biashara yenye tija.
Soma zaidiIpo stock: 12800 mfukoDELIVERY YA UHAKIKA
Mwanza na viunga: tunathibitisha eneo na gharama baada ya order. Mikoa mingine: tunapanga usafiri wa basi, lori au meli kulingana na mzigo.
Wasiliana na JAYMO kuthibitisha upatikanaji na usafirishaji. Kuonekana kimataifa hakuthibitishi delivery, gharama ya usafirishaji, forodha au availability.
ACCOUNT ZA MALIPO
Weka namba ya order kwenye kumbukumbu ya malipo, kisha tuma risiti WhatsApp. Order itathibitishwa baada ya malipo kuonekana.