Rudi dukaniJAYMO Msaada / FAQ

JAYMO HELP

Msaada na maswali ya kawaida

Taarifa sahihi kuhusu bidhaa, orders, Mawakala, malipo na availability.

Nitajuaje bidhaa ipo?

Duka linaonyesha availability ya bidhaa zilizochapishwa. Order yako pia huthibitishwa kabla ya malipo au delivery.

Mna delivery Mwanza?

Ndiyo. Eneo na gharama ya delivery huthibitishwa baada ya order kulingana na kiasi na sehemu ulipo.

Naweza kuagiza nje ya Mwanza?

Wasiliana na JAYMO kuthibitisha upatikanaji na usafirishaji. Kuonekana kimataifa hakuthibitishi delivery, gharama ya usafirishaji, forodha au availability.

Mawakala

Directory hii inaonyesha Approved, Active na Public JAYMO Agents pekee.

Mawakala
Njia za malipo

Weka namba ya order kwenye kumbukumbu ya malipo, kisha tuma risiti WhatsApp. Order itathibitishwa baada ya malipo kuonekana.