TAFUTA WAKALA MWINGINE Wakala wa JAYMO aliye approved
Wakala wa JAYMO aliye approvedACTIVE · PUBLIC · VERIFIED RECORD

HOLO

HOLO

Kata ya Kisesa, Magu, Mwanza

Maeneo anayohudumia
MAENEO ANAYOHUDUMIA Kisesa na maeneo ya jirani, Mwanza yote, pamoja na wateja wa nje ya Mkoa wa Mwanza. Usafirishaji unaweza kupangwa kulingana na eneo na ukubwa wa oda.
Bidhaa alizotaja
BIDHAA ZINAZOPATIKANA 🐔 Kuku Layers • Layers Starter • Growers Mash • Layers Mash 🐓 Kuku Chotara • Chotara Starter • No.30 • No.51 — Mayai • No.65 — Nyama 🐖 Nguruwe • S1 — Starter • G2 — Grower • F3 — Finisher 🐄 Ng’ombe • Dairy Feed 🐕 Mbwa • Dog Feed Pia tunapatikana kwa oda na usambazaji wa chakula cha mifugo

Thibitisha stock, bei na delivery moja kwa moja kabla ya kulipa au kusafiri.