
All products
FEED FOR POULTRY
JMF-LM9
Chakula kamili aina ya MASH kwa kuku wa mayai kuanzia siku 136+. Husaidia uzalishaji wa mayai, uimara wa ganda na afya ya kuku. Tayari kwa kulisha bila kuchanganya na chakula kingine. Kifurushi: 50 KG Bei: TSh 63,000
TSh 63,000- Price and stock are confirmed before delivery
- Mwanza · Lake Zone
Contact JAYMO to confirm availability and transport. International visibility does not confirm delivery, shipping cost, customs or availability.
